Last update was on Friday 22th April 2010
EVENTS/MATUKIO...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. William Lukuvi akifafanua jambo alipokuwa akiwaelezea waandishi wa habari kuhusu ziara ya Mh.Raisi Jakaya Mrisho Kikwete kutembelea miradi ya maji mnamo trh 24/5/2010 |
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Mh. William Lukuvi akiwa na aliyekuwa Afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO bwana Alex Kaaya wakati wa ziara ya Mh.raisi Jakaya Mrisho Kikwete |
Viongozi wa DAWASCO wakiwa wamejipanga tayari kwa kumpokea raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania alipotembelea shirika hilo mnamo trh 24/5/2010 |
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Jakaya Kikwete akisalimiana na waziri wa maji na umwagiliaji mh.Mark Mwandosya mara tu baada ya kuwasili katika ofisi za DAWASCO makao makuu trh 24/5/2010 |
Waziri wa maji na umwagiliaji mh. Mark Mwandosya akiwaelezea wakazi wa eneo la Kimara Mavurunza juu ya upatikanaji wa maji katika eneo lao kufuatia marekebisho yatakayofanywa na DAWASCO kuhusu ugawaji wa maji. |
Afisa mtendaji mkuu wa DAWASA bwana Archard Mutalemwa akizungumza na wananchi wa eneo la Kimara Mavurunza kuhusu mipango ya kuboresha hali ya maji katika eneo hilo. |
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi wa eneo la Kimara Mavurunza kuhusu mipango ya kuboresha hali ya maji katika eneo hilo |
 |
Aliyekuwa afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO bwana Alex Kaaya akijibu swali la raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Jakaya Kikwete kuhusu hali ya upatikanaji maji kufuatia ziara aliyoifanya ya kutembelea maeneo ya mburahati,Kimara na Chang'ombe trh 24/5/2010. |  |
Aliyekuwa afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO, bwana Alex Kaaya akiagana na raisi wa jamhuri ya mungano wa Tanzania,mh.Jakaya Kikwete nje ya ukumbi wa Karimjee baada ya kumalizika kwa ziara ya raisi kuhusiana na hali ya upatikanaji wa maji jijini. | Raisi akitoka nje ya ukumbi wa karimjee tayari kwa kuondoka baada ya kumalizika kwa ziara yake mnamo trh 25/4/2010 |