Njia za kulipia bili ya DAWASCO

  • ZAP
  • Vodacom M-Pesa
  • Scrarch Card
  • TPB Popote
  • Cellcom Paypoint
  • CRDB
  • Bank Of Africa (B.O.A)
  • Baclays
  • NMB Mobile
  • Standard Charted Bank

 

NMB mobile Bills Payment

 

JINSI UNAVYOWEZA KULIPIA BILI YA MAJI KWA KUTUMIA ZAP

 

JISNSI YA KULIPIA BILL KWA KUTUMIA SCRATCH CARD

 

 

Jinsi ya kulipia kwa Mpesa...

  • Chagua ‘lipia huduma’ katika orodha ya Mpesa
  • Andika nambari ya biashara ya kampuni unayoilipa. Kampuni zinazoshiriki zina nambari spesheli za biashara.
  • Weka nambari ya akaunti ya huduma unayotaka kulipia
  • Andika kiwango cha pesa unacholipa
  • Weka nambari yako ya siri ya Mpesa.
  • Thibitisha uliyoandika ni sawa kisha bonyeza OK.

Mtandao wako wa Zain unakupa huduma
ya kulipia bili ya maji kwa urahisi zaidi kwa
kutumia simu yako..
Fuata maelekezo yafuatayo ya jinsi ya
kulipa bili yako ya maji kwa kutumia ZAP..




• Chagua ZAP kutoka kwenye Zain menyu
• Chagua Pesa
• Chagua kwenda jina la FUMBO
• Andika DAWASCO kwenye kisanduku cha maandishi
• Andika kiwango unachotaka kununua
• Bonyeza OK
• Andika neno lako la siri
• Andika namba ya Accounti
----Tayari umemaliza kulipia Bili yako ya maji------

Epuka usumbufu na adha za maji

Lipa bili yako kila mwezi